-
Luka 9:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Sasa Petro na wale waliokuwa pamoja naye walikuwa wamelemewa na usingizi; lakini walipopata kuamka kabisa waliona utukufu wake na wale wanaume wawili waliosimama pamoja naye.
-