-
Luka 22:59Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
59 Baada ya saa moja hivi kupita mwanamume mwingine akaanza kusisitiza kwa nguvu: “Kwa hakika mtu huyu pia alikuwa pamoja naye, kwa maana, yeye ni Mgalilaya!”
-