15 Basi akatengeneza mjeledi wa kamba na kuwafukuza hekaluni wote waliokuwa na kondoo na ng’ombe, akamwaga sarafu za wale waliobadili pesa na kupindua meza zao.+
15 Kwa hiyo, baada ya kufanya mjeledi wa kamba, akawafukuza hekaluni wale wote wenye kondoo na ng’ombe, akamwaga sarafu za waliokuwa wakibadili pesa na kupindua meza zao.+