-
Yohana 2:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa hiyo, baada ya kufanya mjeledi wa kamba, aliondosha nje ya hekalu wale wote wenye kondoo na ng’ombe, naye akamwaga sarafu za wabadili-fedha na kupindua meza zao.
-