-
Yohana 6:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 na, baada ya kupanda mashua, wakaondoka kwenda ng’ambo ya bahari ili waende Kapernaumu. Basi, kufikia sasa, giza lilikuwa limeingia na Yesu alikuwa bado hajaja mahali walipokuwa.
-