-
Yohana 9:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Basi wakati huo Mafarisayo wakaanza kumuuliza jinsi alivyoanza kuona. Akawaambia: “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nami nikanawa, sasa ninaona.”
-