-
Yohana 9:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Basi wakati huo Mafarisayo wakaanza kumuuliza jinsi alivyoanza kuona. Akawaambia: “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nami nikanawa, sasa ninaona.”
-
-
Yohana 9:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa hiyo, wakati huo Mafarisayo pia wakazidi kumuuliza jinsi alivyopata kuona. Akawaambia: “Yeye aliweka udongo wa mfinyanzi juu ya macho yangu, nami nikajiosha na ninaona.”
-