-
Yohana 9:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi wakamwita mara ya pili yule mtu aliyekuwa kipofu na kumwambia: “Mpe Mungu utukufu; tunajua mtu huyu ni mtenda dhambi.”
-