-
Yohana 9:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi wakamwita mara ya pili yule mtu aliyekuwa kipofu na kumwambia: “Mpe Mungu utukufu; tunajua mtu huyu ni mtenda dhambi.”
-
-
Yohana 9:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa hiyo mara ya pili wakamwita mtu aliyekuwa amekuwa kipofu na kumwambia: “Mpe Mungu utukufu; sisi twajua kwamba mtu huyu ni mtenda-dhambi.”
-