-
Yohana 20:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Yesu akamuuliza: “Mwanamke, kwa nini unalia? Unamtafuta nani?” Maria, akifikiri kwamba ni mtunza-bustani, akamwambia: “Bwana, ikiwa umemchukua, niambie umemlaza wapi, nami nitamwondoa.”
-