-
Yohana 20:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Yesu akamwambia: “Mwanamke, kwa nini unatoa machozi? Unatafuta nani?” Yeye, akiwaza alikuwa ni mtunza-bustani, akamwambia: “Bwana, ikiwa umemchukua, niambie ni wapi umemlaza, na hakika nitamwondoa.”
-