-
Matendo 3:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kupitia jina lake, na kwa imani yetu katika jina lake, mtu huyu mnayemwona na kumfahamu amefanywa awe mwenye nguvu. Imani kupitia kwake imemfanya mtu huyu awe mwenye afya kamili, mbele yenu nyote.
-
-
Matendo 3:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kwa sababu hiyo, kwa imani yetu katika jina lake, jina lake limemfanya awe mwenye nguvu mtu huyu ambaye mnamwona na kumjua, na imani kupitia kwake imempa mtu huyu afya hii kamili mbele ya macho yenu nyote.
-