-
Matendo 3:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kupitia jina lake, na kwa imani yetu katika jina lake, mtu huyu mnayemwona na kumfahamu amefanywa awe mwenye nguvu. Imani kupitia kwake imemfanya mtu huyu awe mwenye afya kamili, mbele yenu nyote.
-
-
Matendo 3:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Kwa sababu hiyo, kwa imani yetu katika jina lake, jina lake limemfanya awe mwenye nguvu mtu huyu ambaye mwamwona na kumjua, na imani iliyo kupitia yeye imempa mtu huyu utimamu kamili huu mbele ya macho yenu nyote.
-