-
Matendo 5:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Papo hapo akaanguka chini miguuni pa Petro akafa. Wale vijana walipoingia walikuta amekufa, wakamtoa nje na kumzika kando ya mume wake.
-