-
Matendo 5:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Mara hiyo, akaanguka chini kwenye miguu yake akaisha. Wale wanaume vijana walipoingia wakamkuta amekufa, nao wakambeba kumpeleka nje wakamzika kando ya mume wake.
-