-
Matendo 5:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Baada ya kusikia hilo, wakaingia hekaluni wakati wa mapambazuko na kuanza kufundisha.
Basi kuhani mkuu na wale waliokuwa pamoja naye walipofika, wakakusanya Sanhedrini na kusanyiko lote la wazee wa wana wa Israeli, nao wakawatuma watu kwenye jela ili wawalete mitume mbele yao.
-