Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 5:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Baada ya kusikia hilo, wakaingia hekaluni wakati wa mapambazuko na kuanza kufundisha.

      Basi kuhani mkuu na wale waliokuwa pamoja naye walipofika, wakakusanya Sanhedrini na kusanyiko lote la wazee wa wana wa Israeli, nao wakawatuma watu kwenye jela ili wawalete mitume mbele yao.

  • Matendo 5:21
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 21 Baada ya kusikia hili, wakaingia hekaluni wakati wa mapambazuko na kuanza kufundisha.

      Basi kuhani wa cheo cha juu na wale walio pamoja naye walipowasili, wakaita pamoja Sanhedrini na kusanyiko lote la wanaume wazee wa wana wa Israeli, nao wakatuma watu kwenye jela ili waletwe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki