-
Matendo 5:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kwa mfano, kabla ya siku hizi Theuda alisimama akidai kwamba yeye ni mtu wa maana, na wanaume kadhaa, karibu 400, wakajiunga na chama chake. Lakini aliangamizwa, na wafuasi wake wote wakatawanyika na kwisha.
-