-
Matendo 5:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Kwa mfano, kabla ya siku hizi Theudasi aliinuka, akisema yeye mwenyewe alikuwa mtu wa maana, na idadi fulani ya wanaume, karibu mia nne, wakajiunga na chama chake. Lakini alimalizwa, na wote wale waliokuwa wakimtii wakatawanywa na kuja kuwa si kitu.
-