4 Ndipo akaondoka katika nchi ya Wakaldayo, akaanza kuishi Harani. Na kutoka hapo, baada ya baba yake kufa,+ Mungu akamwagiza ahamie nchi hii ambayo mnaishi sasa.+
4 Ndipo akatoka nchi ya Wakaldayo na kuanza kukaa Harani. Na kutoka huko, baada ya baba yake kufa,+ Mungu akamfanya abadili makao yake mpaka kwenye nchi hii ambamo ninyi sasa mnakaa.+