-
Matendo 7:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Ndipo akaenda kutoka nchi ya Wakaldayo na kuanza kukaa katika Harani. Na kutoka huko, baada ya baba yake kufa, Mungu akamsababisha abadili makao yake hadi kwenye nchi hii ambamo nyinyi sasa mwakaa.
-