-
Matendo 9:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kisha Sauli akainuka, na ingawa macho yake yalikuwa yamefunguka, hangeweza kuona chochote. Basi wakamshika mkono na kumwongoza mpaka Damasko.
-