-
Matendo 9:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Lakini Sauli akainuka kutoka kwenye ardhi, na ingawa macho yake yalifunguliwa alikuwa haoni kitu. Kwa hiyo wakamwongoza kwa kumshika mkono na kumpeleka kuingia katika Damasko.
-