-
Matendo 10:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Mara tu yule malaika aliyezungumza naye alipoondoka, akawaita wawili kati ya watumishi wake na mmoja wa wanajeshi wake aliyemwogopa Mungu,
-