-
Matendo 10:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Mara tu yule malaika aliyezungumza naye alipoondoka, akawaita wawili kati ya watumishi wake na mmoja wa wanajeshi wake aliyemwogopa Mungu,
-
-
Matendo 10:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Mara tu malaika aliyesema naye alipokuwa ameondoka, aliita wawili kati ya watumishi wake wa nyumbani na askari-jeshi mstahifu kutoka miongoni mwa wale waliokuwa wakimhudumia daima,
-