-
Matendo 12:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Wakampita mlinzi wa kwanza na wa pili, wakafika kwenye lango la chuma linaloelekea jijini, nalo likafunguka lenyewe mbele yao. Walipotoka nje wakapita kwenye barabara fulani, na mara moja yule malaika akamwacha.
-