-
Matendo 12:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Wakipita askari-mlinzi wa kwanza na wa pili wakafika kwenye lango la chuma lenye kuongoza ndani ya jiji, nalo likawafungukia kwa hiari yalo lenyewe. Na baada ya wao kutoka wakashukia barabara moja, na mara malaika akamwacha.
-