19 Herode akamtafuta kwa bidii, na aliposhindwa kumpata, akawahoji walinzi na kuamuru wapelekwe kuadhibiwa;+ basi akatoka Yudea na kushuka kwenda Kaisaria, akakaa huko kwa muda.
19 Herode+ akamtafuta kwa bidii na, alipokosa kumpata, akawahoji walinzi na kuwaamuru wapelekwe kuadhibiwa;+ naye akashuka kwenda Yudea mpaka Kaisaria na kukaa huko kwa muda fulani.