-
Matendo 12:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Herode akamtafuta kwa bidii yenye kuendelea na, alipokosa kumpata, akawachunguza walindaji na kuwaamuru wapelekwe kwenye adhabu; naye akateremka kwenda Yudea hadi Kaisaria na kutumia wakati fulani huko.
-