25 Lakini Yohana alipokuwa akimalizia huduma yake, akawa akisema: ‘Mnadhani mimi ni nani? Mimi siye. Lakini tazameni! kuna Mtu anayekuja baada yangu ambaye sistahili kuvifungua viatu vya miguu yake.’+
25 Lakini Yohana alipokuwa akitimiza mwendo wake, akawa akisema ‘Mnadhani mimi ni nani? Mimi si yeye. Lakini, tazameni! mmoja anakuja baada yangu ambaye viatu vya miguu yake mimi sistahili kuvifungua.’+