-
Matendo 13:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Lakini Yohana alipokuwa akitimiza mwendo wake, akawa akisema ‘Mwadhani mimi ni nini? Mimi si yeye. Lakini, tazameni! mmoja anakuja baada yangu ambaye makubazi ya miguu yake mimi sistahili kuyafungua.’
-