-
Matendo 19:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Ndipo mtu huyo aliyekuwa na roho mwovu akawarukia, akawazidi nguvu mmoja baada ya mwingine na kuwashinda, hivi kwamba wakatoka mbio katika nyumba hiyo wakiwa uchi na wakiwa wameumizwa.
-