-
Matendo 19:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Ndipo mtu huyo aliyekuwa na roho mwovu akawarukia, akawazidi nguvu mmoja baada ya mwingine na kuwashinda, hivi kwamba wakatoka mbio katika nyumba hiyo wakiwa uchi na wakiwa wameumizwa.
-
-
Matendo 19:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Ndipo huyo mtu ambaye huyo roho mwovu alikuwa ndani yake akawarukia, akawazidi nguvu mmoja baada ya mwingine, na kuwaweza, hivi kwamba wakakimbia kutoka nyumba hiyo wakiwa uchi na wamejeruhiwa.
-