29 Basi jiji likajaa mvurugo na wote pamoja wakakimbia na kuingia katika ukumbi wa maonyesho, wakiwakokota Gayo na Aristarko,+ Wamakedonia waliokuwa wakisafiri pamoja na Paulo.
29 Kwa hiyo jiji likajaa mvurugo, na kwa umoja wakatimua mbio na kuingia jumba la maonyesho, wakawachukua kwa nguvu pamoja nao Gayo na Aristarko,+ Wamakedonia, wasafiri waliokuwa wakiandamana na Paulo.