-
Matendo 19:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Kwa hiyo jiji likawa lenye kujawa na mvurugo, na kwa umoja wakatimua mbio kali kuingia mahali pa michezo, wakichukua kwa nguvu pamoja nao Gayo na Aristarko, Wamakedonia, waandamani-wasafiri wa Paulo.
-