-
Matendo 20:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kijana aitwaye Eutiko alikuwa ameketi dirishani, naye akalala usingizi mzito Paulo alipokuwa akiongea, basi akalemewa na usingizi, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu, akaokotwa akiwa amekufa.
-
-
Matendo 20:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kijana fulani anayeitwa Eutiko, aliyekuwa ameketi dirishani, akalala usingizi mzito huku Paulo akiendelea kuongea, naye akalemewa na usingizi, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu akaokotwa akiwa amekufa.
-