-
Matendo 20:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kijana aitwaye Eutiko alikuwa ameketi dirishani, naye akalala usingizi mzito Paulo alipokuwa akiongea, basi akalemewa na usingizi, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu, akaokotwa akiwa amekufa.
-
-
Matendo 20:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Akiwa ameketi dirishani, mwanamume fulani kijana aitwaye jina Eutiko aliingia katika usingizi mzito huku Paulo akifuliza kuongea, na, akididimia katika usingizi, akaanguka chini kutoka orofa ya tatu akaokotwa amekufa.
-