-
Matendo 20:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Sasa tukaenda kwenye meli na kusafiri mpaka Aso, ambako tulikusudia kumchukua Paulo, kwa maana baada ya kutuagiza hivyo, alikusudia kwenda huko kwa miguu.
-
-
Matendo 20:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Sasa tukaenda kwenye mashua na kusafiri mpaka Aso, ambako tulikusudia kumpandisha Paulo chomboni, kwa maana, baada ya kutoa maagizo hayo, yeye mwenyewe alikusudia kwenda kwa miguu.
-