-
Matendo 20:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Sasa tukaenda kwenye meli na kusafiri mpaka Aso, ambako tulikusudia kumchukua Paulo, kwa maana baada ya kutuagiza hivyo, alikusudia kwenda huko kwa miguu.
-
-
Matendo 20:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Sasa tukaenda mbele kwenye mashua na kusafiri kwa mashua hadi Asosi, ambako tulikuwa tukikusudia kumpandisha Paulo katika mashua, kwa maana, baada ya kutoa maagizo hayo, yeye mwenyewe alikuwa akikusudia kwenda kwa miguu.
-