-
Matendo 21:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Baada ya muda wetu huko kwisha, tukaondoka na kuanza safari, lakini wote kutia ndani wanawake na watoto, wakatusindikiza mpaka nje ya jiji. Tukapiga magoti ufuoni, tukasali,
-