-
Matendo 21:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa hiyo tulipokuwa tumekamilisha hizo siku, tukatoka na kuanza kushika njia yetu twende; lakini wao wote, pamoja na wanawake na watoto, wakatuongoza hadi nje ya jiji. Na tukipiga magoti pwani tukasali
-