-
Matendo 21:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 mara moja akachukua wanajeshi na maofisa wa jeshi wakakimbia kwenda huko. Walipomwona kamanda wa jeshi na wanajeshi, wakaacha kumpiga Paulo.
-