-
Matendo 21:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 mara moja akachukua wanajeshi na maofisa wa jeshi wakakimbia kwenda huko. Walipomwona kamanda wa jeshi na wanajeshi, wakaacha kumpiga Paulo.
-
-
Matendo 21:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 naye mara moja akachukua askari-jeshi na maofisa-jeshi na kuwakimbilia huko chini. Walipomwona mara hiyo huyo kamanda wa kijeshi na askari-jeshi, wakakoma kumpiga Paulo.
-