33 Ndipo yule kamanda wa jeshi akakaribia akamweka chini ya ulinzi na kuamuru afungwe kwa minyororo miwili;+ kisha akauliza huyo ni nani na alikuwa amefanya nini.
33 Ndipo kiongozi wa kijeshi akaja karibu akamkamata na kutoa amri afungwe minyororo miwili;+ naye akaanza kuuliza huyo ni nani na alikuwa amefanya nini.