-
Matendo 25:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kwa hiyo, baada ya kukaa kati yao siku zisizozidi nane au kumi, akashuka kwenda Kaisaria, na siku iliyofuata akaketi kwenye kiti cha hukumu na kuamuru Paulo aletwe.
-