16 Lakini nikawajibu kwamba si utaratibu wa Kiroma kumkabidhi mtu yeyote ili tu kupata kibali kabla ya mshtakiwa kukutana uso kwa uso na wale waliomshtaki na kupata nafasi ya kujitetea kuhusu mashtaka.+
16 Lakini nikawajibu kwamba si utaratibu wa Kiroma kukabidhi mtu yeyote ili kupata kibali kabla ya mtu huyo aliyeshtakiwa kukutana uso kwa uso na washtaki+ wake na kupata nafasi ya kujitetea kuhusu malalamishi.