-
Matendo 25:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Lakini nikawajibu kwamba si utaratibu wa Kiroma kukabidhi mtu yeyote ili kujipendekeza kabla ya huyo mtu aliyeshtakiwa kukutana uso kwa uso na washtaki wake na kupata nafasi ya kusema katika kujitetea kuhusu lalamiko.
-