-
Matendo 25:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Basi kesho yake, Agripa na Bernike wakaja kwa fahari nyingi na kuingia katika ukumbi wa baraza pamoja na viongozi wa jeshi na vilevile wanaume mashuhuri wa jiji; naye Festo alipotoa amri, Paulo akaletwa.
-