Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 25:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi kesho yake, Agripa na Bernike wakaja kwa fahari nyingi na kuingia katika ukumbi wa baraza pamoja na viongozi wa jeshi na vilevile wanaume mashuhuri wa jiji; naye Festo alipotoa amri, Paulo akaletwa.

  • Matendo 25:23
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 23 Kwa hiyo, siku iliyofuata, Agripa na Bernike wakaja kwa wonyesho mwingi wenye fahari za madaha na kuingia ndani ya chumba cha baraza pamoja na makamanda wa kijeshi na vilevile wanaume waheshimiwa katika jiji, na Festo alipotoa amri, Paulo akaletwa ndani.

  • Matendo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 25:23 w98 9/1 30

  • Matendo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 25:23

      Mnara wa Mlinzi,

      9/1/1998, uku. 30

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki