-
Matendo 28:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Miezi mitatu baadaye tukasafiri kwa meli ambayo upande wa mbele ilikuwa na sanamu ya “Wana wa Zeu.” Meli hiyo ilitoka Aleksandria na ilikuwa imekaa kwenye kisiwa hicho wakati wa majira ya baridi kali.
-